Swahili to English: general terminologies General field: Other Detailed field: Tourism & Travel | |
Source text - Swahili Hujambo? | Translation - English How are you? |
Swahili to English: DEFEATED BY LACK OF KNOWLEGDE General field: Other Detailed field: Religion | |
Source text - Swahili Nilipokuwa kijana, nilikuwa kwenye kikundi cha ushirikiano cha kikristo. Tulikuwa tukiuimba wimbo huu ambao labda unaufahamu. .Tuliimba hivi " Je yeye ameridhika, je ameridhika, je ameridhika na mimi." Nimefanya vyema? Je nimeupita mtihani? Je ameridhika na mimi? Wacha niseme ya kwamba mara kumi kati ya mara kumi tulipouimba huu wimbo,niliamini kuwa sijamridhisha Mungu.Wakati tunapojitazama, yote tunayoyaona ni ukosefu na ubatili wetu. Kwa uwezo wetu , kamwe hatuwezi kukifikia kiwango cha Mungu kuridhika nasi. Daima tutaanguka. | Translation - English When I was a teenager, I used to belong to a christian fellowship group.We would sing this song which you maybe familiar with.It went like this"is He satisfied, is He satisfied, is He satisfied with me.Have I done my best? Have I stood the test? Is He satisfied with me. Let me just say that 10 out out of 10 times that we sang this song I would always believe that God was not satisufied with me.When we look to ourselves,all there is to see inadequency and futility of our ability and performance. In and of ourselves we will never meet God's standard for Him to be satisfied with us.We will always fall short. |
Swahili to English: DEFEATED BY LACK OF KNOWLEGDE General field: Other Detailed field: Religion | |
Source text - Swahili Nilipokuwa kijana, nilikuwa kwenye kikundi cha ushirikiano cha kikristo. Tulikuwa tukiuimba wimbo huu ambao labda unaufahamu. .Tuliimba hivi " Je yeye ameridhika, je ameridhika, je ameridhika na mimi." Nimefanya vyema? Je nimeupita mtihani? Je ameridhika na mimi? Wacha niseme ya kwamba mara kumi kati ya mara kumi tulipouimba huu wimbo,niliamini kuwa sijamridhisha Mungu.Wakati tunapojitazama, yote tunayoyaona ni ukosefu na ubatili wetu. Kwa uwezo wetu , kamwe hatuwezi kukifikia kiwango cha Mungu kuridhika nasi. Daima tutaanguka. | Translation - English When I was a teenager, I used to belong to a christian fellowship group.We would sing this song which you maybe familiar with. It went like this"is He satisfied, is He satisfied, is He satisfied with me. Have I done my best? Have I stood the test? Is He satisfied with me.Let me just say that 10 out out of 10 times that we sang this song,I would always believe that God was not satisufied with me.When we look to ourselves,all there is to see inadequency and futility of our ability and performance. In and of ourselves.We will never meet God's standard for him to be satisfied with us.We will always fall short. |