"Ningeukata toa mkono wangu wa kulia ili niwe na ustadi wa kutumia mikono yote miwili."
- "Wakati utakapofika njia panda, endelea nayo."
- "Unaweza kutambua mengi kwa kutizama tu."
- "Hakuna mtu anayeenda tena pale. Kuna watu wengi mno. "
- "Siwezi kufikiri kwa makini wakati ninapowaza."
- "Maisha ya baadaye sio kama yalivyokuwa zamani."
- "Sitawanunulia watoto wangu ensaiklopidia. Kama mimi, waache waende wenyewe shule. "
- "Tumepotea, lakini tutafika mapema."
- "Nusu ya maneno ya uongo wanaosema kuhusu mimi si ya kweli."
- "Pesa hazina thamani tena."
- "Ni kama naona marudio, yote tena."
- "Hayataisha mpaka yatakapoisha."
- Bi Lindsay: "Umependeza ile mbaya." Yogi Berra: "Asante, wewe pia hujapendeza sana."
- "Kama dunia ingekuwa ya kuridhisha, isingekuwa."